Posted by UMABE ARTS COMPANY - -

UMABE ni Kampuni inayojishughurisha na uendeshaji wa sanaa kama vilemuziki,maigizo,uchoraji,na kuendesha miradi mbalimbali ya kijamii nakimaendeleo.Kampuni hii ilianzishwa tarehe 3-3-2009 na kusajiliwa chini ya msajili wa makampuni mnamo tarehe 29-9-2009 chini ya sheria ya msajili wa katiba ya makampuni. Pia kampuni yetu inasimamia kikundi cha sanaa cha UMABE ARTS GROUP kilichosajiliwa BASATA.

MAANA YA UMABE!!!!!!!!!!


UMABE* ni kifupisho cha maneno  yafuatayo:
*U*-inasimama badala ya *UMOJA*
*M*-inasimama badala ya *MAPINDUZI*
*A*-inasimama badala ya *AJIRA*
*B*-inasimama badala ya *BURUDANI*
*E*- inasimama badala ya *ELIMU*

UMABE is the company that deals with differents arts works such as Music, Drama, Drawings, and other related activities. The company start since 3-3-2009 and get approval as a company in 29-09-2009 under the act of the companies.